Kituo cha Elimu, Mafunzo na Ukuzaji Maarifa cha MAISHAMEMA
EDUCATION AND TRAINING CENTRE kinatangaza nafasi mbili za kazi
ya ukatibu muhtasi ( usekretari ) kwa waombaji wenye sifa
zifuatazo:
1. Msichana/mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na 30.
2. Elimu kidato cha nne, sita na kuendelea.
3. Awe na ufahamu wa msingi wa matumizi ya kompyuta.
4. Aweze kuongea na kuandika kwa ufasaha lugha za kiswahili na
kiingereza.
5. Akiwa amepitia mafunzo ya ukatibu muhtasi atapewa kipaumbele zaidi.
USAILI UTAFANYIKA KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO KATIKA SHULE YA
SEKONDARI PERFECT VISION, SIKU YA IJUMAA, TAREHE 22/04/2011
KUANZIA SAA TATU KAMILI ASUBUHI.
Fika ofisini kwetu ukiwa na barua yako ya maombi iliyo
ambatanishwa na C.V yako kwa ajili ya usaili.
Kwa maelezo zaidi Piga simu 0788363058... au 0652458398..
tembelea blogu yetu :
No comments:
Post a Comment