HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 19, 2011

mfuko wa akiba wa wafanyakazi serikalini (GEPF) watembelea chuo cha polisi zanzibar

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF Bw Daud Msangi akiwasilisha mada kuhusu shughuli za Mfuko wa GEPF pamoja na umuhimu wa kuwa mwanachama wa Mfuko kwa wahitimu wa kozi za uongozi katika Chuo cha polisi Zanzibar . Kulia kwake ni Meneja masoko wa mfuko huo Bw Aloyce Best Ntukamazina na kushoto ni Mkufunzi Mkuu wa Chuo hicho Bw Andrea Mwang'onda
Baadhi ya wakufunzi wa kozi ya uongozi katika chuo cha Polisi Zanzibar wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa GEPF Bw Daud Msangi mara baada ya kuwatembelea chuoni hapo kwa lengo la kuwapa mada ya umuhimu wa Mfuko huo kwa hifadhi ya jamii

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad