maana ni takribani mwezi na zaidi sasa tangu kuchimbwa kwa hili shimozz,sasa sijui ni kwanini halifukiwi mpaka leo?? na kama walilichimba halafu wakaona wamechemka kwanini walingelifukia basi??ona magari yanavyopita kwa shida hapa.
No comments:
Post a Comment