HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 19, 2011

BARABARANI HAKUENDEKI KWA FOLENI,NJIA ZA USWAZI HAZIPITIKI KUTOKANA NA MADIMBWI YA MAJI

Hapa ndio palikuwa patamu,maana huyu jamaa mwenye hii Hiace aliona kama hayo maji ni madogo akataka kupita.lakini alipobaini kwamba hapa ni parefu ni pale alipoona hilo 4x4 likiendelea kuzama chini.
4x4 lilipotokeza na kuliona jinsi lilivyo akaona isiwe shida na kuamua kugeza gari lake na kwenda kutafuta njia nyingine ya kumuwezesha kufika safari yake.yaani ni balaaa.
Hapa napo mambo ndio kama hivyo tena.
Gari nyingi zilibuma kwenye foleni,na zilipofanikiwa kukiona kituo hiki cha mafuta walishukuru sana maana hakuna alietaka kuondoka hapo mpaka kieleweke.
ndinga zimejipanga kwenye foleni utadhani ziko sokoni.
yaani kila kona ya jiji mambo yalikuwa hivi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad