Kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo imewanasa jamaa hawa wakichimba chini ili kuweza kupata chuma chakavu kilichokuwa kimejifukia kwa kipindi kirefu.hii inaonyesha ni kiasi gani biashara ya vyuma chakavu inavyoendelea kupeta hapa mjini.
No comments:
Post a Comment