napenda kushare na Wadau matukio mbalimbali ya wanyama wa Dar es Salaam Zoo Pasaka hii!!Kama inavyoonekana picha mbali mbali zikionesha Nungunungu akiwa amechachamaa,Kenge juu ya mti, swala, mbuni, pundamilia, na nyumbu wakiwa katika pozi tofauti!! Salamu za Pasaka Kwa Wadau wote!ShukraniSalim Hassan
No comments:
Post a Comment