
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Darts ikiwa katika picha ya pamoja.

Timu ya Taifa ya Uganda ikiwa katika picha ya pamoja.

Timu ya Kenya.

yaani ni full shangwe kwa wachezaji wa Darts wa Tanzania.

Mratibu wa mashindano ya mchezo wa Darts,Innocent Melleck akipanga vikombe vitakavyokabidhiwa kwa washindi leo mara baada ya kumalizika kwa fainali hizo jioni hii.
Baadhi ya wachezaji wa Darts toka nchi za Kenya na Uganda pamoja na Tanzania wakiwa na Katibu mkuu wa mchezo wa Darts Taifa,Mohamed Bitegeko (pili kulia) huku wakiwa wamevizunguka vikombe vitakavyokabidhiwa kwa washindi wa mchezo katika fainali zinazoendelea kufanyika hivi sasa kwenye ukumbi wa Moshi Bar,Manzese Tiptop.







No comments:
Post a Comment