HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 24, 2011

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA MATUKIO YA VINGUNGUTI LEO

Daraja jipya linalotenganisha Vingunguti na Tabata linavyoonekana sasa baada kuanza kupiga mzigo.
Bar ya Mashujaa (Mama Sakina) ni maarufu sana kwa pande za Vingunguti.
Ajali kazini.

Mbuzi wakipelekwa mnadani,Vingunguti leo.
Japo ni ya Vumbi lakini inasaidia kupunguza hadha ya foleni katika barabara kubwa.
Dampo ya Zamani.
Tope kiaina lakini shughuli zinakwenda kama kawa.
Hapa kimbembe kinikua ni kwangu jinsi ya kuvuka huo mto wa ghafla kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar.
Mtaa wa Vingunguti umechangamka sana hasa kwa biashara mbali mbali.
Mishkaki Vingunguti ni jambno la kawaida maaba kule nyama ni nyingi sana.
Kampeka ka vumbi kameibadirisha sana Vingunguti.
Chombo cha Mzigo kikirejea leo.
Hapa ndipo mahala pakorofi,maana wataalamu wa kupiga sop sop barabara walipafanyia mambo ila kutokana na mvua za hapa na pale mambo ndio yako kama hivi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad