kaka najua wewe ni mzee wa mtaa kwa mtaa na sisi wazee wa skyscrapercity tunazimia mambo yako ile kinoma, tunaomba kama utapost link yetu pamoja na picha ili wadau mbalimbali walio home au ughaibuni kutembelea forum yetu hapa Nchini forum ya TANZANIA,
hapa ikishindana na mataifa mengine ya africa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=172756&page=7
hapa ikiwa yenyewe DAR ES SALAAM AND ZANZIBAR PHOTO GALLERY http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948&page=48
No comments:
Post a Comment