HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 4, 2011

mapacha watatu na 20 % waangusha show bab'kublwa usiku huu At Mzalendo Pub

Mwanamuziki 20 % akifanya kamuzi la kufa mtu katika show yao matata sana na Bendi ya Mapacha Watatu ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub usiku huu.
20 % akiwa na Josee Mara wa Mapacha Watatu ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub usiku huu.
Producer Man Water or Man Maji akizicharaza vilivyo Tumba usiku huu.
20 % akiambatana na kampani yake wakionyesha Tuzo walizozipata kutoka Kili Music Awards 2011.
Mapacha Watatu wakisebeneka usiku huu.
Wapacha Watatu wakiachia moja ya Vibao vyao vilivyotamba na kuhika hapa nchini.
.... Mikono juu,Mikono Juuuu.....
Ankal Michuzi akiwa na Wadau.
Ankal Michuzi akiwa na Mratibu wa Show Hii ya Mapacha Watatu na 20 %,Sauda Mwilima ndabni ya ukumbi wa Mzalendo Pub usiku huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad