Meneja Viwango wa TBL tawi la Mbeya,Bw. Gasto Christian akimkabidhi makaratasi ya vibali kwa dereva wa Lori lililokuwa likisafirisha bia aina ya Castle lager kwenda nchini Zambia,Bw. Edson Ndanga ikiwa ni usafirishaji wa kwanza kwa bia hiyo kwenda nchi hiyo ya jirani. Makabidhiano hayo yalifanyika siku za hivi karibuni katika kiwanda cha bia Tanzania,tawi la Mbeya siku za hivi karibuni.kulia ni utingo wa Lori hilo.
Monday, April 4, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment