Familia ya Mark Maregesi na mkewe Vicky wanafurahi kumpongeza mtoto wao Nickas M. Maregesi kwa kutimiza mwaka mmoja wa kuzaliwa kwake leo tarehe 14/4/2011.
Pia anapongezwa na dada zake Joan na Cherry, familia ya Eliakimu Mrema wa Area "D" - Dodoma na Familia ya Maregesi wa Kipunguni "B" - DSM.
Hongera Nickas, mungu akupe maisha marefu na ukue kwa kimo na Hekima.
We love you.
No comments:
Post a Comment