Wafanyabiashara wa Majenereta wa maeneo ya barabara ya Morogoro wakiwa wameyapanga kwa wingi majenereta hayo ambayo kwa sasa yamekuwa ni dili sana kutokana na hali ya mgao wa umeme unaoendelea sehemu mbali mbali hapa nchini.
No comments:
Post a Comment