
Katibu wa CCM Idara ya siasa na Mahusiano ya kimataifa Mh. January Makamba katikati akizungumza na Mabalozi,Kulia Balozi wa Japani Hiroshi Nakagawa,Balozi wa Uswisi Adrian Schlapfer,na Balozi wa Norwegian Ingunn Klepsvik kulia kwake akiwa amefuatana na katibu wa ubalozi Veslemoy Lothe Salvesen.

Katibu wa CCM Idara ya siasa na Mahusiano ya kimataifa Mh. January Makamba akiongea na mabalozi hao
No comments:
Post a Comment