Mdau Mwinga akisoma risala kwa niaba ya wote waliokula Nondozzzz. Watanzania wapatao 64 wamekula nondozz chuo kikuu cha mysore india katika shahada za BCOM,BBM,LLB,BSC na BA na mmoja mastaz ya statistics.

Mdau Amani Masue (shoto) akiwa na wenzie baada ya kula nondozzz Chuo Kikuu cha University of Mysore, India

Baadhi ya wadada warembo wakipozi kwa picha mara baada ya kula Nondozzzz zao Mysore


Wadau wakifurahi baada ya kula Nondozzzz.
kwa picha zaidi za waliokula nondozz
No comments:
Post a Comment