Mdau Khatibu Abdillah Makenga na mai waifu wake Fatma Ally Juma wakiwa katika mnuso wao wa nguvu katika ukumbi wa Brigade Mess ulioko Lugalo Jeshini jijini Dar usiku wa kuamkia leo, baada ya wapendanao hawa kumeremeta siku ya Ijumaa huko Kimara kwa Msuguri jijini Dar
Wafanyakazi wenzake Bw. Harusi wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamaha wakipozi na maharusi
Maharusi wakpozi na Kamati ya maandalizi chini ya uenyekiti wa mdau Shaaban Kessy Mtambo (kulia mbele)


No comments:
Post a Comment