Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Bw.Jerry Slaa akipata maelezo ya picha mbalimbali kutoka kwa msanii wa picha za kuchora, Shama Jaffer(kulia) wakati wa uzinduzi wa kituo Ujamaa Arts Gallery uliofanyika Dar es Salaam juzi. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa kituo hicho Lorna Mashiba na mke wa Meya huyo, Anna.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Bw.Jerry Silaa akipata maelezo ya picha mbalimbali kutoka kwa msanii wa picha za kuchora , Shama Jaffer (kulia) wakati wa uzinduzi wa kituo Ujamaa Arts Gallery uliofanyika Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mkurugenzi wa kituo hicho, Lorna Mashiba.
No comments:
Post a Comment