
Mfuko wa pensheni wa PPF kwa kutambua umuhimu na mchango wa wanawake katika jamii umekabidhi msaada wa compyuter na printer kwa wakinamama wajasiliamali wa mkoa wa kagerra, akipokea msaada huo kwa niaba ya kina mama hao mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Kagera, Mh.Bernadeta K. Mushashu ameushukuru sana Mfuko wa PPF na amesema msaada huu umekuja mda mwafaka kwani utawawezesha kina mama wa Saccoss za Kagera kuweka kumbukumbu za biashara zao kwa usahihi na kuzipata kwa urahisi pale zinapohitajika,wakikabidhi msaada huo Kulia ni Meneja Mahusiano wa PPF Sara Msika sambamba na Afisa Mahusiano Bi. Mary Msoffe .
No comments:
Post a Comment