HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 3, 2011

songas kuokoa jahazi la umeme nchini lisizame???

Magari yaliyobeba mitambo ya kufua Umeme ya Kampuni ya Songas yakiwa yamepaki nje ya Kampuni hiyo tayari kwa kuingizwa ndani. Mitambo hiyo iliyobebwa na Magari hayo inadaiwa ni moja ya jitiada za kampuni hiyo ya Songas ya kuanza kuzalisha umeme baada ya mitambo ya Dowans kuzimwa na kusababisha tatizo la umeme ambao bado ni tete hadi sasa kutokana na mgao unaoendelea usiojulikana mwisho wake.Picha na Sufian Mafoto Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad