
Mambo vp mkuu,
plz naomba msaada wako katika libeneke lako kuwaomba wadau wanipigie kura katika tuzo za Kili mwaka huu, niko katika category ya wimbo bora wa Zuku/Rhumba BADO ROBO SAA. namba yangu ya ushiriki ni Y133 na kuituma kwenda namba 15747.
au unaweza kumpigia kupitia internet kwa link hiyo.
natanguliza shukrani.
No comments:
Post a Comment