HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 3, 2011

HARAMBEE YA SAIDIA GONGO LA MBOTO – READING UK

 Clip ya ‘AILTV NEWS SPECIAL’ Mahojiano kati ya Mtangazaji wa TV Miss Jestina George na Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya Locus Impex Shipping Bw Benard Chisumo, kuhusiana na Harambee ya Gongo la Mboto iliyofanywa na wakazi wa Reading UK Jumamosi ya Tarehe 26/02/2011.
mizigo ikiendelea kupakiwa kwenye mabox
Frank, Sheila, Tina Na Ben Wakifunga Utepe kwenye Mizigo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad