Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, (Vodacom Group ) Pieter Uys, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi (Vodacom Group) , Pieter Uys, (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini.
Rais Jakaya Kikwete, akiagana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi (Vodacom Group) Pieter Uys baada ya kuktana na ujumbe wa kampuni hiyo Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare. Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati alipoongozana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, (Vodacom Group) , Pieter Uys (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare
Wawekezaji wapo kushoto huko kulia kuna....mtoto wa makamba....Hatufiki....leteni habari....
ReplyDelete