
Msanii Cpwaa akitoa shukrani zake za dhati kwa mashabiki wake walioweza kumpigia kura mpaka kuweza kupata tuzo ya Video Bora ya Muziki ya Mwaka.Cpwaa pia amechukua tuzo nyingine ya Ragga/Dancehall.

Tuzo ya Wimbo Bora wa Reggae ilienda kwa Hardmad.

Mbungu wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Vicky Kamata akimkabidhi tuzo ya Wimbo Bora wa R&B msanii Ben Poul.

Msanii wa vichekesho toka kundi la Orijinal Comedy,ambaye pia ni Mwanamuziki akitoa shukrani zake kwa mashabiki wake waliomuwezesha kupata tuzo ya Wimbo Bora wa Asili wa Tanzania.

Msanii mkongwe wa muziki nchini,Lady Jay Dee akiwa na tuzo zake mbili alizojishindia,moja iliwa ni ya Wimbo Bora wa Afrika Mashariki na nyingine ni Msanii Bora wa Kike.

Mkurugenzi Mkuu wa Prime Time,Juhayna Kussaga pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja wakimkabidhi tuzo Mtunzi Bora wa Nyimbo abaye ni 20 % akiwakilishwa na Producer wake Man Water.20 % ndie alieibuka kinara wa kupata tuzo nyingi ambazo ni za Wimbo Bora wa Afro Pop,Msanii Bora wa Kiume,Wimbo Bora wa Mwaka pamoja na Mwimbaji Bora wa Kiume.

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB,Iman Kajura pamoja na Balozi wa Redd's 2010,Consolata wakikabidhi tuzo ya Msanii Bora wa Kike iliyokwenda moja kwa moja kwa Lady Jay Dee na kupokelewa na mdau aliejitokeza kumuwakilisha kutokana na kutohudhuria kwa msanii huyo.

THT na ushambuliaji wao wa Jukwaa.

Mapacha Watatu na Kamuzi la kufa mtu usiku huu.

kuona picha mbali mbali za waliopata tuzo hizo
No comments:
Post a Comment