Da' Naima (kulia) akiwa na Da' Rosemary (shoto) pamoja na shoga yao
Mashostzz wakijiachia kimtindo wakati wa kuparikaaa..
Da' Rosemary (shoto) na Shosti wake.
Birthday Girl Naima akiwa na shoga zake waliokuja kumsherehekea wakati wa sikukuu yake ya kuzaliwa.
.....kamera sasa basi,hapa ni kilaji kwa kwenda mbele......
No comments:
Post a Comment