HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 21, 2011

hivi yuko wapi huyu jamaa siku hizi????

maana ni kipindi kirefu kimepita kwa ukimya wake.yeyote mwenye data zake na mahala alipo tafadhali tuwakilie hapa barazani.

1 comment:

  1. Du! haya bana jamaa yupo pande za wapi sijui , ila nakumbuka mara ya mwisho nilionana kwenye msiba wa marehemu dk.Remmy Ongara na alikuwa mstari wa mbele.

    Nilipata kuongea nae kidogo, ila yupo so nasikia anapatikana pande za Sinza na Tandale.

    By Mdau Nguli,Andrew C,

    ReplyDelete

Post Bottom Ad