HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 21, 2011

MBIO ZA MASHUA ZA VODACOM ZAFANA SANA JIJINI DAR

Baadhi wa washiriki wa mbio za mashua za Vodacom closing regatta wakichuana vikali katika mbio hizo zilizofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi hapo jana.
Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akimkabidhi zawadi ya Modem Nils Sulzer,mara baada ya kuibuka mshindi kwa watoto wadogo walioshiriki mbio hizo za Vodacom closing regatta,katikati Ofisa huduma na bidhaa wa kampuni hiyo Elihuruma Ngowi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad