HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 20, 2010

shindano la giraffe unique model 2010 lapamba moto,kutimua vumbi disemba 24

Christina Peter
Bilkis Suleiman
Asia Dachi
Carina Suleiman
Mariam Rabii
Caroline Mwakasaka
Dorah Mhando
Neema Silvery
Ritha Samuel
Diana Hamson

HIVI NDIVYO VIFAA VITAKAVYOCHUANA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUPATIKANA KWA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 LITAKALOFANYIKAKATIKA HOTELI YENYE HADHI YA NYOTA TANO YA GIRAFFE OCEAN VIEW TAREHE 24 DESEMBA 2010.HOTELI HIYO IPO KUNDUCHI,JIJINI DAR

SHINDANO HILI LINAKUJA KWA UDHAMINI MKUBWA WA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL,CHANNEL TEN,GLOBAL PUBLISHERS,ROBBIAC PAINT,ALI REHMTULLAH,MTAA KWA MTAA BLOG PAMOJA NA UNIQUE ENTERTZ BLOG.

NYOOOTEEEEE MNAKARIBISHWAA........

1 comment:

  1. Bongo kuna warembo wazuri sana ila wanajiharibu kujichubua na kuchoma manywele yao yani wanakua kama midudu vile si binadamu, unaambia black is beauty allways acheni ushamba na ujinga wa kukwepa rangi zenu za asili.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad