HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 21, 2010

URBAN PULSE YAWATAKIA XMAS NJEMA NA KHERI YA MWAKA MPYA


Salam,

Utawala wa URBAN PULSE CREATIVE MEDIA unapenda kuwatakia wadau wote pale walipo xmas njema na kheri ya mwaka mpya 2011. Pia tunapenda kutoa Shukrani zetu kwa wadau wote waliotupa support ya namna moja au nyingine pamoja na kutoa comments mbalimbali kuhusiana na kazi zetu.

Mbali na hapo hatuwezi kusahau kutoa shukrani za pekee kwa Bloggers wote ambao wametusaidia kurusha kazi zetu ukianzia na Ankal MICHUZI,JIACHIE,MISS JESTINA,DJ CHOKA,TZ UK, HAKI NGOWI,GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO,KULIKONI UGHAIBUNI,HUNGA,MASHUGULI,KANUMBA,RAY THE GREATEST ,JENGATZ,MASHUGHULI,TA READING,BONGO CELEBRITY,MJENGWA,MTAA KWA MTAA,BONGO WIKEND
TV & RADIO STATION zikiwepo BBC, BEN TV, BET,MTVBASE,AILTV, PRESENTERS: SPORAH, FRED MTOI na Fred Macha, wadhamini wetu kampuni,ASET(ASHA BARAKA & BARAKA MSILWA) na mwisho kabisa Ubalozi wetu wa Tanzania hapa UK Pamoja na staff wote.

Hivyo basi tunawomba mkae tayari kupokea mwaka mpya 2011 na programme za ukweli na kusisimua kutoka URBAN PULSE CREATIVE MEDIA.

ASANTENI,

URBAN PULSE CREATIVE MEDIA
urbanpulsecreative@googlemail.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad