HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 21, 2010

Madereva wa nji hii ya tandale wanakera kama nini vilee

maana wanasimama kila mahali tena katikati ya njia kama ionavyo katika picha hizi hapa (juu na chini.)yaani ni kero mtindo mmoja.sijui hata ni lipi tatizo lao.

1 comment:

  1. wenyewe wanasema njia ya tandale haina vituo ndio maana popote pale wanapaki

    ReplyDelete

Post Bottom Ad