Mwanamuziki mahiri Joe Makini akiwapagawisha wanafunzi waliofika katika Tamasha la Vodacom XXL After School Bash lililofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach lililokuwa na lengo lakuwakutanisha wanafunzi wote katika kipindi hiki cha Likizo.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Mwasiti akikonga nyoyo wanafunzi wa shulembalimbali waliohudhulia katika Tamasha la Vodacom XXL After School Bash lililofanyika katika hotel ya Kunduch Beach.
Msanii chipukizi kutoka kundi la Tip Top Connections Dogo Janja akiwarusha wanafunzi wa shule mbalimbali katika tamasha la Vodacom XXL After school Bash lililofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach.likiwa limeandaliwa na Vodacom kwa kushirikiana na CLOUDS.
Afisa wa Ufadhili wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Ibrahimu Kaude akimkabizi simu mshindi wa Vodacom Mr XXL After school Bash,Karama Haji wa sekondari ya Tusiime katika shindano lililowashilikisha wanafunziwa pamoja wa shule za sekondari,kipindi hiki cha likizo katika Hoteli ya Kunduch Beach.kulia ni mtangazaji wa Clouds TV .Zamaladi Mketema.
Afisa wa Ufadhili wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Ibrahimu Kaude akimkabizi simu mshindi wa Vodacom Miss XXL After scholl Bash,Amisa Hussein wa Sekondari ya Tandika ya jijini lililowashilikisha wanafunziwa pamoja wa shule za sekondari,kipindi hiki cha likizo katika Hoteli ya Kunduch Beach.katikati ni mtangazaji wa clouds Tv Zamaladi Mketema.
No comments:
Post a Comment