HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 19, 2010

watu wa jiji mnafanya nini???

Huyu jamaa sijui katoka wapi na takataka mpaka anakuja kutupa hapa ambapo ni sehemu ya barabarani kabisha maeneo ya Makumbusho,jijini Dar.kwa mpango huu watu wa jiji wanafanya kazi gani??maana sehemu hii imefanya kama dampo vilee..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad