
Katika pita pita zetu mimi na Mwanaharakati mwenzangu MK (kulia) tulikutana na Supa Staa Steven Kanumba ambaye yuko juu sana katika tasnia ya Filamu hapa nchini,ambaye pia ni mwanalibeneke mwenzetu.
waweza mtembelea katika libeneke lake kwa link hiyo hapo chini.
:)))))))))
ReplyDeleteNaona umekua penejeeeeeeee unaning'iniza simu kiunoni kama akina papa msofe... Oth upo juu
ReplyDelete