huu utaalam sijui ni nani aliuanzisha hapa jijini Dar?? maana ni mitaa mingi sana nimekutana na hii mambo ya kuanika viatu juu nyaza za umeme kama hivi zionekanavyo picha hizi.
No comments:
Post a Comment