
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Mahusiano wa TBL,Steve Kilindo (kushoto) akiwasha mshumaa wakati wa maadhimisho ya siku Ukimwi Duniani iliyoadhimishwa jana.Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Waelimishaji Rika,Afya wa Kampuni hiyo,Hamadi Maliwati.

Kikundi cha Uelimishari Rika katika Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kikiwasha mishumaa katika maadhimisho hayo yaliyofanyika jana katika Makao Makuu ya Kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment