
Taxi Vs Daladala ni full Kuchomekeana.

Hivi kumbe siku hizi inaruhusiwa kusimama kwenye relii....!!

Bendera za Taifa letu ziki shaini katika uzio wa uwanja ikiwa ni maandalizi ya sherehe za Uhuru dei huku wapenzi wa soka wakielekea Neshno kucheki mechi kati ya Kilimanjaro stars na Rwanda.

Uvukaji wa Barabara jijini Dar.

kwanza nmechoka,pili natafakar solution la hili tatizo la usafiri n gumu kupatikana?
ReplyDelete