
MAREHEMU KHALID ATHUMAN BYANAKU
04 DEC. 1943 - 04 DEC 2008
Ni miaka miwili leo tangu ulipotutoka baba yetu mpendwa mzee Khalid Athuman Byanaku tarehe 04 Desemba 2008.
Ingawa tunaamini kwamba kimwili haupo nasi lakini kiroho upo nasi
Tunakuombea kwa Mungu akuhifadhi mahala pema peponi,kwani sisi sote tu njiani kumreje Allah Subhana Wataala. Unakumbukwa sana na Ngugu,jamaa na marafiki wote uliokuwa ukuwa nao wakati wa uhai wako.
Mungu aipumzishe roho yako mahali pema peponi.
-Amin.
No comments:
Post a Comment