HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 5, 2010

Maoni yenu tafadhali.......

maana kama hali yenyewe ndio kama hii,tutakuwa tunaelekea wapi??

2 comments:

  1. Yetu macho tu hatuna la kusema sisi wabongo sijui vipi yani hatuendelei au kwa sababu ya umasikini yani we acha tu.

    ReplyDelete
  2. Vifo vingine huwa tunajitakia tu! Sijui tutakuja kuelimika lini, mambo mengine hayataki elimu ya juu kuyaelewa....lakini vichwa ngumu kweli kweli...!!!! Mimi mtu wa namna hii akiumia simpi hata msaada wangu...hafe tu!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad