HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 19, 2010

Shida ya Maji Shinyanga

wakazi wa mji wa Shinyanga wakiwa na baskeli zilizosheheni madumu ya maji ambayo yanapatikana umbali mrefu na makazi wanayoishi.
hii ndio sehemu inakopatikana maji hayo ambapo ni umbali mrefu sana na mahala yalipo makazi ya watu hawa.

1 comment:

Post Bottom Ad