Baadhi ya Magari ya washindi wa shindano la shinda mkoko na Vodacom yakiwa nje ya makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani city kabla ya kukabidhiwa rasmi kwa washindi 100 wa shindano hilo kwenye viwanja vya Mlimani City jijini Dar leo.
Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Tanzania Bi. Mwamvita Makamba pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw. Dietlof Mare wakifuatilia hafla ya kukabidhi magari 100 aina ya Hyundai i10 yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa washindi wa shindano la shinda mkoko.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akimkabidhi funguo ya gari aina ya Hyundai i10 mshindi wa shindano la shinda mkoko na Vodacom Mkurugenzi mtendaji wa New Dodoma Hotel ya mjini Dodoma,Bw.Wellington Maleya.
Maijo Hamisi akishangilia baada ya kukabidhiwa gari lake alilojishindia katika promosheni ya shinda mkoko ambapo jumla ya washindi 100 walikabidhiwa magari yao,Kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare.
No comments:
Post a Comment