
Huyu ni kibaka aliemkwapulia mtu mmoja katika maeneo ya soko kuu la Arusha,akiwa hoi baada ya kutembezewa kisago cha maana toka kwa wananchi wenye hasira kali mara tu alipokamatwa na watu hao.

hapa akijaribu kutafuta walau pozz la kulala ili aweze kupunguza maumivu ya kichapo hicho.

hapa napo mambo ni yale yale........

wananchi wamemaliza kazi yao na sasa wanamuangalia atachukua muda gani mpaka kurudisha namba wa muumba.
Maisha magumu kazi hakuna CCM wanapeta na Mapesa ya hajabu, Walala hoi tunahangamia
ReplyDelete