HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 15, 2010

mzee mwinyi aongoza matembezi ya Rotal Dar Marathon leo

Align CenterRais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alli Hasani Mwinyi akitoa hotuba baada ya kushiriki katika matembezi ya Rotal Dar Marathon yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya miradi ya Maji Mashuleni yaliofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alli Hasani Mwinyi mwenye Mvi kulia akishiriki katika matembezi ya Rotal Dar Marathon yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya miradi ya Maji Mashuleni yaliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Pwani Chris Blacburn, wa Kwanza kushoto akikimbia umbali wa km 21.1 wakati wa mbio za Rotal Dar Marathon zenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya miradi wa maji mashuleni yaliofanyika jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali waliodhaminiwa na kampuni ya Vodacom wakishiriki katika matembezi ya Rotal Dar Marathon yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya miradi ya Maji Mashuleni yaliofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad