HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 16, 2010

lori lilipopoteza muelekeo na kuingia bondeni

gari hii ilipoteza mueleo na kujikuta ikipinduka na kuingia bondeni katika maeneo ya jirani na Segera kama ukitokea Dar.hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii na huyo anaeonekana kuwa anafungua mlango ni dereva wa gari hiyo.
huku ndiko ilikoelekea baada ya kupoteza mueleke.
kwa kona hii .............

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad