
Mwanamuziki wa bendi ya Taiwa toka Afrika Kusini akipuliza Vuvuzela orijino wakati wakitumbuza usiku wa kuamkia leo katika tamasha la ZIFF.

Mpiga Galoon maarufu Zanzibar,Nassor Abdallah akikitendea haki kifaa hicho usiku wa kuamkia leo katika tamasha la ZIFF linaloendelea katika viwanja vya ngome kongwe,Zanzibar

Mpiga Galoon maarufu Zanzibar,Nassor Abdallah (katikati) akiwa na wenzake wakati wakitumbuiza katika tamasha la ZIFF linaloendelea kufanyika katika viwanja vya ngome kongwe,Zanzibar

Mpuliza mdomo wa Bata (Saxophone) wa Bendi ya Taiwa toka Bondeni akifanya vitu vyake huku wenzake wakienda sambamba na muziki huo.

Hawa ni Royal Echoes kutoka Ghana nao walifanya vizuri sana katika Tamasha La ZIFF linaloendelea kufanyika katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.

Mpiga Gita na mwimbaji wa Kwetulobo akilicharaza kisawasawa gita lake huku akiimba kwa hisia kubwa.

Wacheza shoo wa Kwetulobo wakifanya vitu vyao

Wadau wa ZIFF wakifuatilia kwa makini tamasha hilo.

kamera man Jay akitafuta shabaha ya kupata taswira nzuri kutoka kwa bendi ya Taiwa.

Raha ya Muziki ni kuchza,na hawa wanatenda haki hiyoo.

"Kabbbaghhhh"

huyu nae alicheza kwa staili yake.

Raha jipe mwenyeweeeee.......

Prof.Mhando akibadilishana mawazo na wadau.

watu kibao hujitokeza ngome kongwe kufuatilia mfululizo wa tamasha la ZIFF.
No comments:
Post a Comment