
Maalim Jay akijichana Samaki wa magenge ya Malindi kama alivyofumwa na kamera ya Mtaa Kwa Mtaa mchana wa leo.

"sijui huku ni wapi maskini ya mungu,maana nishazunguka sana lakini sifiki tu ninakokwenda."

mitaa ya Malindi

Mtabiri Paulo akila kichapo cha maana ili aweze kulegea na kuwa mdebwedo kabisa.

masela wakikorofisha nguna ndani ya mtumbwi katika pwani ya Malindi

mandhali ya pwani ya Malindi mchana wa leo.
Weyeeeee Wala Samaki weyee!!!! Hebu Mpareni huyo Samaki akaangwe Maalim Othman aleeeeee... teh-teh-teh Piga Malindi Club ile picha ya Simba anakunywa Chai kama bado ipo. Au waenda kula Mbatata Za urojooooo... Forooooo.
ReplyDelete