HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 15, 2010

Libeneke Jipya La Da' Dina

da' Dina akiwa katika pozi.

hellow Mzee wa Mtaani,
natumaini ni mzima wa afya na unaendelea poa na ujenzi wa taifa.
Napenda kukufahamisha kwamba nimejiunga katika medani ya WANABLOGU tafadhali naomba unitandazie hapo mtaani kwako ili wadau waweze nipokea kwa mikono miwili na kunipa ushirikiano..

Blogu yangu inajulikana kama www.mamapipiro.blogspot.com.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Wenu
Dina Ismail

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad