hongera sana kwa kuendeleza libeneke la Mtaa Kwa Mtaa kwani tuna injoi sana kuona matukio mbali mbali ya huko nyumbani.Mkuu kuna hako ka ndinga hapo naomba unitangazie kwenye Blogu yetu ambayo inasomwa na watu kede kede duniani kote.hii gari iko katika hali nzuri tu na bei ni maelewano tu na tayari iko dar.
Maelezo ni kama yafuatayo.
Make:Vauxhall
Model:frontera
Fuel:Diesel
Engine CC:2.0
Transmission:Manual
First reg:1997
Kwa mawasiliano cheki namba hizo hapo chini;
Mr.Chiza
0754-748938
0719-138179
Nashukuru kwa msaada wako na tuko pamoja kwenye mapambano ya kila siku.
No comments:
Post a Comment