JK akisalimiana na Ruge Mutahaba ambaye ni kiongozi wa Nyumba ya Vipaji (THT) ambaye yuko Dodoma na wasanii nyota kibao ambao watatumbuiza wikiendi hii kwenye Fiesta 2010. Jana JK aliwaalika Ikulu Ndogo ya Chamwino na kupata nao dina la mchana
JK akisalimiana na Marlaw
JK akisalimiana na Michael Carter Mlingwa (MX)
JK akisalimiana na Chegge













No comments:
Post a Comment