HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 22, 2010

Miss Higher Learning Kufanyika Leo

Miss Tanzania Miriam Gerald (2009) akizungumza na washiriki wa Miss Higher learning mara baada ya kuwatembelea kambini kwao wanakofanyia mazoezi yao.Shindano la kumpata kinara wa Miss Higher Learning linatarajiwa kufanyika leo jioni kuanzia saa mbili usiku katika viwanja vya Karimjee ambapo kiingilio kimepangwa kuwa ni Shillingi 5000 tu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad