HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 21, 2010

Swali La Kizushi

hivi ni kwanini watu wengi hawapendi kuvuka katika sehemu husika za kuvukia????

2 comments:

  1. Hakuna tofauti, kwenye zebra na pasipo na zebra.... Madereva hawaheshimu sehemu maalum za kuvukia....

    ReplyDelete
  2. duhhhhhhhhhhh kuna watu wengine wamezoeya kuvuka vichochoroni na awajuwi sheria za trafiic .wakiona michoro ya kuvuka barabarani wanajuwa ni labda ni sahini za magari yasilete ajali hii yote ni .kutoelimwishwa befo

    ReplyDelete

Post Bottom Ad