HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 4, 2010

Masheikh Wakutana Kujadili Namna Ya Kurudisha Mahakama Ya Kadhi Tanzania

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Issa Shaaban Simba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa jopo la Masheikh na Wanasheria Waislamu la kurejesha Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mchana baada ya kikao cha Masheikh hao cha kujadili Mapendekezo ya Sekretarieti ya pamoja kati ya Serikali na Masheikh kuhusu mchakato wa uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu-Dini, (BAKWATA) Sheikh Mohamed Said.
Baadhi ya masheikh, wakiwa katika kikao hicho...katika ofisi za Makao Makuu ya BAKWATA Kinondoni.
Masheikh wakiwa kikaoni humo.....
(picha na Muhidin Sufiani)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad